KUHUSU SISI

AMKA CONSULTANTS inatoa mafunzo, ushauri na usimamizi kwenye eneo la maendeleo binafsi, mauzo, biashara fedha na uwekezaji.

AMKA CONSULTANTS inafanya kazi kwa karibu na wale wenye kiu ya mafanikio na kuhakikisha wanaweza kufikia ndoto kubwa walizonazo.

HUDUMA ZETU

  1. MAARIFA; Mafunzo yanayotolewa bure kwa njia za mtandao.
  2. VITABU; Vitabu vyenye maarifa sahihi kwenye maeneo ya maendeleo binafsi, mauzo, biashara, fedha na uwekezaji.
  3. KISIMA CHA MAARIFA; Hii ni jamii ya tofauti ya watu wenye kiu ya mafanikio makubwa ambao wanashirikiana pamoja kwenye safari ya mafanikio.
  4. CHUO CHA MAUZO; Programu ya kukuza mauzo angalau mara mbili ndani ya mwaka mmoja, kupitia maarifa sahihi na zana bora za mauzo.
  5. BILIONEA MAFUNZONI; Huduma ya ukocha wa biashara inayokuwezesha kujenga biashara kubwa na yenye mafanikio, inayojiendesha yenyewe bila ya kukutegemea moja kwa moja.

MAWASILIANO

Kupata huduma, wasiliana na sisi kwa njia zifuatazo;

Maarifa; AMKA MTANZANIA

Vitabu; 0752 977 170

Jamii; KISIMA CHA MAARIFA

Huduma Nyingine; 0717 396 253

Barua pepe; amkaconsultants@gmail.com